Sheria isiyofuata haki ni dhuluma!Kweli, ila uzuri ni kwamba sheria imeshachukua mkondo, haijalishi kama kuna wanaomuona shujaa au kibaka.
Wakamsaidie kwenye rufaa.
Bonge la sailensa![emoji16][emoji16]View attachment 1854103
Halafu li Sophia lizuri sasa dah!
Na wewe ni last born mkuu?Hahaha
Sijui mpoje[emoji16]We unafikiri tupoje? Shwaini [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1854117
Wasukuma hatuna mbwembwe za hivi. Labda ungesema Mhaya. Hujambo lakini?Msukuma.