Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mtakoma nyie mtakaokufa,maana moto si mchezo[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1854137
Moto wa wapi tena?Mtakoma nyie mtakaokufa,maana moto si mchezo
Wa mbinguni,Moto wa wapi tena?
Huenda eneo hilo lina vibaka
Wengi (kama siyo wote) tutakwenda akhera/Paradiso. Wanaume wengi hatuna madhambi kihivyo. Kwa hivyo Molla Ataamrisha: Wanaume wote akhera [emoji122][emoji122][emoji122]Wa mbinguni,
Una vingapi kati ya hivyo? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1854145
Mkuu umejaaliwa kuwa na kipi kati ya hivyo vitu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1854145
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mmoja alikujaga kufturu home,alikuwa anakula ugali na tambi Kama mboga[emoji1787][emoji1787]asee tulimuacha tu,yeye sip msukuma ni mmatengo[emoji23]
Duuu umeniwahi [emoji23][emoji23][emoji23]Una vingapi kati ya hivyo? [emoji16][emoji16][emoji16]
Naamini wewe siyo mbung'o!
Kimoja[emoji16]Mkuu umejaaliwa kuwa na kipi kati ya hivyo vitu hapo[emoji23]
Kimoja tu[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1854145
Atueleze hapa hapa tujue japo nilishamwona kule kwenye kuselfika. Dogo ana vidimpozi vya kishikaji na bado pengine ndo kwanza anagusa eitiini japo alikuwa amejiziba na maemoji ya kila aina...Duuu umeniwahi [emoji23][emoji23][emoji23]