Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,382
Ngoja kwanza nijiandae kisaikolojia, kama lugha yenyewe ndio hio inabidi nijiandae ili niweze kukabili matamshiNjoo nikufundishe. Nakifahamu vizuri sana![]()
Huyu mzee huwa nikimwangalia najikuta nacheka tuUtafariki tu mkuu muda ukifika. Hata ukimpata utamfanya nini? Potezea tu!
View attachment 1847811
Viti virefu ndiyo hivi sasaView attachment 1847539
MREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni
Katika ujana wake alikuwa mwanamapinduzi sana tena mwenye fikra zenye kutoa cheche. Ungemsikiliza enzi zile anapambana kumfurusha Idd Amin ungesema naam! Hapa Afrika imelamba dume.Huyu mzee huwa nikimwangalia najikuta nacheka tu
kuna maagano hayakimbiwiUsijaribu hii kituView attachment 1848603