Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Unajua ni kazi gani?Hapo kuna utapeli gani kwani?Wao kama wana pesa na wanataka kazi basi watoe Pesa wapewe kazi.Kama hawana Pesa wakatafute kazi za bure ziko nyingi sana.
Unajua ni kazi gani?Hapo kuna utapeli gani kwani?Wao kama wana pesa na wanataka kazi basi watoe Pesa wapewe kazi.Kama hawana Pesa wakatafute kazi za bure ziko nyingi sana.
Inaonekana Kwenye hiyo pesa unamgao wakoHapo kuna utapeli gani kwani?Wao kama wana pesa na wanataka kazi basi watoe Pesa wapewe kazi.Kama hawana Pesa wakatafute kazi za bure ziko nyingi sana.
Nachojua ni kwamba amaepewa masharti ya kazi,kama anaweza kuyatimiza ayatimize,kama hawezi aachane nayo.Kama ana mashaka pia aachane nayo.After all kazi za bure ziko nyingi sana.Unajua ni kazi gani?
Mkuu unahangaika naye wakati naye ni miongoni kwa hao wanao taka hivyo 5M,achana naye,kikubwa mwomba ushauri aachane na hao matapeliUnajua ni kazi gani?
NIngekuwa na mgao ningepita kimya.Hapo naona mtu anayetaka kujifariji katika swala ambalo liko wazi.Anataka kazi,Sharti atoe Pesa.Kama kweli anataka kazi na yuko tayari kutake risk ya kutoa milioni 4 plus atoe tu ili apate kazi.Asipopata kazi basi aende polisi kuwashitaki kwa utapeli.Inaonekana Kwenye hiyo pesa unamgao wako
Mkuu,Kama anataka kazi kwa nini asitoe hio pesa?Kama anayo io pesa kwa nini asitoe?Wakati mwingine mtu inabidi atoe kitu ili apate kitu.Ni swala la yeye tu kuwa tayari kupoteza iwapo kuna utapeli ila kama anataka kazi ambazo hulipii ziko nyingi sana aachane na hio kaziMkuu unahangaika naye wakati naye ni miongoni kwa hao wanao taka hivyo 5M,achana naye,kikubwa mwomba ushauri aachane na hao matapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha kupata kazi acha kumfariji ujinga hao ni matapeliNIngekuwa na mgao ningepita kimya.Hapo naona mtu anayetaka kujifariji katika swala ambalo liko wazi.Anataka kazi,Sharti atoe Pesa.Kama kweli anataka kazi na yuko tayari kutake risk ya kutoa milioni 4 plus atoe tu ili apate kazi.Asipopata kazi basi aende polisi kuwashitaki kwa utapeli.
Inwezekana ni hawa?Tanzania Non-Government Organisation [NGO] - National CoordinationHakuna cha kupata kazi acha kumfariji ujinga hao ni matapeli
Mwenzao huyu hapa.Cha?Sasa hio ni kazi au ni kazia,Kama mnazo hizo hela lipeni Ndugu yenu apate kazi.Kama hamna Pesa ya kulipa basi katafuteni Kazi za bure.
Kampuni gani inaajiri watumishi kwa milioni nne man? ShitukaHabari za majukumu ya kila siku ndugu zangu. Poleni na majukumu
Nielekee Kwenye mada. Nina mdogo wangu amefanya usaili katika shirika la LIVING FOUNDATION hapa Dar. Mdogo wangu amepata nafasi ya kufanya kazi Kwenye shirika, lakini ninawasiwasi huu
1. Wameambiwa watoe hela ya mafunzo 850,000/=
2. Hela ya usajiri 700,000/=
3. Hela ya kukatia visa 150,000/=
4. Hela ya tahadhari 3,000,000/=
Hela ya tahadhari inatakiwa ikae Kwenye fixed account ambapo account atakayofungua itabidi imilikiwe na shirika siyo yeye mwenye account.
Je, kwa waliowahi kufanya kazi Kwenye hili shirika kunaukweli wowote au tunataka kupigwa?
Najua humu ntapata mrejesho mzuri.
NB😛esa inatakiwa jumatatu iwe imekamilika yote.
Nawasilisha
Itabidi afanye kazi miezi 5 ili aanze kupata faida. Za kuambiwaMafunzo ya ku deal na watu wenye mahitaji maalum, mshahara 900,000 kwa mwezi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyumaHabari za majukumu ya kila siku ndugu zangu. Poleni na majukumu
Nielekee Kwenye mada. Nina mdogo wangu amefanya usaili katika shirika la LIVING FOUNDATION hapa Dar. Mdogo wangu amepata nafasi ya kufanya kazi Kwenye shirika, lakini nina wasiwasi huu
1. Wameambiwa watoe hela ya mafunzo 850,000/=
2. Hela ya usajili 700,000/=
3. Hela ya kukatia visa 150,000/=
4. Hela ya tahadhari 3,000,000/=
Hela ya tahadhari inatakiwa ikae Kwenye fixed account ambapo account atakayofungua itabidi imilikiwe na shirika siyo yeye mwenye account.
Je, kwa waliowahi kufanya kazi Kwenye hili shirika kunaukweli wowote au tunataka kupigwa?
Najua humu ntapata mrejesho mzuri.
NB: Pesa inatakiwa jumatatu iwe imekamilika yote.
Nawasilisha
🤣 🤣 🤣 🤣 ukisoma huu uzi kunzia mwanzo, utagundua kwamba maoni 98% yalikuwa yametabiri matokeo. Ila na wewe kwa nini hukumuonya dogo baada ya kusoma maoni yetu?MREJESHO WA AJIRA YENYE UTATANdugu wana JF napenda kutoa mrejesho wa uzi niliouandiki kipindi cha nyuma
Ni kwamba, kamuni inayojiita living foundation kumbe ndiyo QNet, baada ya kumpa hela dogo akaenda kutoa, kilichofuata ni msoto mkali wa waisha hadi anajuta. Wajanja wameshatafuna pesa yeye kwa Sasa anahangaika kutafta wateja wengine. Mimi nimeshanawa mikono
Asanteni