Neurologist
JF-Expert Member
- Nov 5, 2020
- 518
- 1,296
Wateja wana hasira jamani😂😂
Wateja wana hasira jamani😂😂
Kwani imekuaje tena jamani, au polepole hampi funguMirija imekataView attachment 1848615
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Weweeee!Asante sana kwa historia
Ila unavyosimulia utadhani ulikuepo enzi hizoo![]()



Hahaha ila umejua kunichekesha, kama mwaka 74 ulikua na miaka 34, Basi wewe ni age ya NyerereWeweeee!
Mwaka 1978 tunamfurusha Idd Amini nilikuwa na miaka 34. Nilitaka hata kujitolea kwenda vitani nikakataliwa kuwa umri wangu ulikuwa umekwenda kidogo.
Msituone hivi wengine humu ni sawa na baba zenu. Na kuanzia leo shikamoo yangu naidai wallahi![]()
Marahabaaaa. Na kila siku uwe unafanya hivyo kama zilivyo mila za Wasukuma....Hahaha ila umejua kunichekesha, kama mwaka 74 ulikua na miaka 34, Basi wewe ni age ya Nyerere
SHIKAMOO MZEE MZIMA, wakati naandika hii shiakmoo nimepiga na goti kabisa
Anazingua. Huyo umri wake zaidi sana 30Hahaha ila umejua kunichekesha, kama mwaka 74 ulikua na miaka 34, Basi wewe ni age ya Nyerere
SHIKAMOO MZEE MZIMA, wakati naandika hii shiakmoo nimepiga na goti kabisa



Shikamoo utapata kila siku, ila sasa hayo mazoezi na mimi nataka unifundishe nisizeekeMarahabaaaa. Na kila siku uwe unafanya hivyo kama zilivyo mila za Wasukuma....
Nilikuwa na miaka 34 mwaka 1978 tulipoingia vitani rasmi kumfundisha adabu Nduli Idd Amin Dada...
Umri umeenda sema ndo hivyo vimazoezi vya hapa na pale vinasaidia. Kwema lakini huko kwako?
Desemba mwaka huu nitafikisha miaka 76 Mungu AkipendaAnazingua. Huyo umri wake zaidi sana 30



Bora hata umesema, si ajabu ndo kamaliza chuo au anasubiria bumAnazingua. Huyo umri wake zaidi sana 30
Karibu sana. Na offer ya kukufundisha Kinyamwezi iko pale pale. Ushindwe mwenyewe tuShikamoo utapata kila siku, ila sasa hayo mazoezi na mimi nataka unifundishe nisizeeke

Melo inabidi akutunuku cheo cha mzee wa JFDesemba mwaka huu nitafikisha miaka 76 Mungu Akipenda![]()
Ngoja nijiandae, hii ofa sio ya kukosaKaribu sana. Na offer ya kukufundisha Kinyamwezi iko pale pale. Ushindwe mwenyewe tu![]()
Inabidi iwe hivyo. Na nisipigwe ban hata nikiandika utopolo wa aina gani. Anzisha hiyo petition pleaseMelo inabidi akutunuku cheo cha mzee wa JF
