Ukiwa mlevi kupindukia (alcoholic) na ukajifanya kuacha pombe ghafla unaweza kuaga dunia. Ndiyo maana inashauriwa uache pole pole. Inasemekana hiki ndicho kilimuua Amy Winehouse.Usijaribu hii kituView attachment 1848603
Nadhani sasa watampumzisha huyu mzee na vituko maana sasa si yupo nyuma ya nondoHata asipotoa zote itasaidia nini?
View attachment 1847205

Watanzania wanataka Katiba inayoweza kufanya vitu vya aina hii.We be chillin'
View attachment 1848378
Huyu Musiba aende kwa mama amkumbushe kuwa yeye ni mtumishi wa serikali kupitia magazeti yake.Mirija imekataView attachment 1848615
Kabisaa. Wanaume wote tungelitambua hili wala tusingehangaika.
Asante sana kwa historiaKatika ujana wake alikuwa mwanamapinduzi sana tena mwenye fikra zenye kutoa cheche. Ungemsikiliza enzi zile anapambana kumfurusha Idd Amin ungesema naam! Hapa Afrika imelamba dume.
Tatizo lake ni kukaa madarakani muda mrefu na kwa kadri anavyozeeka ndivyo anavyozidi kuharibu kabisa. Aangalie sana wasije wakamwondosha kwa nguvu.