Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20210704-WA0022.jpg
 
Yeah! Unaona kamshale kamoja kuwa message sent basi. Mishale miwili maana yake message delivered na hii hutaiona kama mtu amekublock. Na ili kujiridhisha zaidi ukimpigia kama amekublock hata simu yake haitaita...
Shukran kwa mwongozo.

Ila imeniuma sana😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom