Kumbe ukiblockiwa ndo inakuwa hivi?
Kazi ya fundi Maiko hiyo[emoji23]
Kazi iliyobakia ya Kigogo ni mipasho
Kumbe ukiblockiwa ndo inakuwa hivi?
Kwa hiyo K ndo umeniblock au sio!
Malipo ni hapa hapa duniani😂😂
Kumbe ukiblockiwa ndo inakuwa hivi?
Kwa hiyo K ndo umeniblock au sio!
Malipo ni hapa hapa duniani😂😂
Hahahaha....jamaa kamfundisha mwizi jinsi ya kumuibia[emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji848][emoji848][emoji848]
Wanyaki hapa ni maparachichi tu ndo yanakosekana. Njooni nayo tupate msosi wa uhakika huku Misungwi Usukumani [emoji16]
View attachment 1839963
Wanyaki bwana [emoji16][emoji16][emoji16]
Hayo hapo sasa. Njoo!!!Ahsante. Ila next time tuwekee ndizi na maparachichi hapo. Ugali tunafanyaga tu kuumeza
Hayo hapo sasa. Njoo!!!
View attachment 1840789
Yeah! Kwa sasa hana lo lote!Kazi iliyobakia ya Kigogo ni mipasho
Yeah! Unaona kamshale kamoja kuwa message sent basi. Mishale miwili maana yake message delivered na hii hutaiona kama mtu amekublock. Na ili kujiridhisha zaidi ukimpigia kama amekublock hata simu yake haitaita...Kumbe ukiblockiwa ndo inakuwa hivi?
Kwa hiyo K ndo umeniblock au sio!
Malipo ni hapa hapa duniani[emoji23][emoji23]