Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Huu ni msosi wa uhakika japo watoto wa kishua na wanaume wa Dar si ajabu wataushangaa huo ugali. Huu ndio mlo halisi wa mwanaume ambaye ama amefanya kazi au anakwenda kufanya kazi ngumu. Ule huu halafu ukamate kidada cha Dar kilaini laini hivi mbona itakuwa kasheshe?[emoji16]Hapa ukipiga hivi ukikidaka kidada cha Dar kilozoea kupigwa na wala chips akitoka hapo anaenda kuwasimulia baba na mama yako shoo ilivyokua. Dadeki....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2937][emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji2440]View attachment 1839788
Hahahaha[emoji23][emoji23]Ushindweee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1839819
Goli lenyewe la babu mnataaaaaaaaaambaLeo tukatoe ushuhuda[emoji1787]
Hiki ndo chakula changu pendwa na takatifu kabisa bhageshiWanyaki hapa ni maparachichi tu ndo yanakosekana. Njooni nayo tupate msosi wa uhakika huku Misungwi Usukumani [emoji16]
View attachment 1839963
Lekaga amamihayo genayo nkoyi Kasie [emoji1][emoji1][emoji1]
Nagawīlwa gīkī ūbebe ugachimagwa na basabi guke; na bagosha ba ma cheo matale (bakulugenji). Ūnene nkoyi nalīng'habī [emoji16][emoji16][emoji16]
Ila lūshikū lūmo nūnene nagūgūchima guke [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1727][emoji1727][emoji1727]
Pesa yangu itatosha kula siku mbili tu, baada ya hapo ni full kuwapiga mizinga malaika...[emoji118]View attachment 1839763
Hili toto ni livivu ila lina akili😂😂