dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Ni kweli wapinzani ndo wanatuamsha kujua tusiyoyajua,ila hatuwezi kuwaunga mkono kwa harakati zao za vitisho dhidi ya serikali inayojaribu kurudisha tabasamu kwa watu wakeNi Watanzania wenzio mkuu na siyo vizuri kuwaita mbwa. Hatujafikia kwenye uhasama wa hivyo. Hii ni nchi yetu sote na inabidi tuvumiliane tu.
Ila uko sahihi. Bila kiki, kukurukakara na mikasa mambo hayaendi hivyo mama watamkorofisha tu mpaka atakosa uvumilivu. Na hicho ndicho wanachokitaka. Huoni tayari wameshambatiza eti ni Magufuli wa kike?
Ila napenda amsha amsha yao kwa sababu mara nyingi huwa angalau inaonyesha mambo yanayoendelea ambayo bila wao huwezi kuyasikia.
Kama watadai katiba kwa njia sahihi tutawaunga mkono lkn sio kwa vitisho mara atake asitake sijui nitamnyoa kwa wembe ule ule, kwasababu wana mahali pa kukimbilia huko ulaya...this is totally insane..safari hii atakayepigwa risasi na afe tuna watu wanatutegemea,tunahitaji amani ili tutimize majukumu yetu ipasavyo..



