Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
.
Nkohi naona unatia mtego kisayansi zaidiUlishawahi kuishi na Msukuma? Najitolea uje ukae nami kwa mwezi mmoja uone tunavyokulaga. Kiugali cha wastani ila nyama na maziwa ndo nyingi. Na maparachichi yapo![]()
Kawaida tu hii kufanya kwa umpendaye 😂Ilishawah kukuta hii???View attachment 1834739
Na ukifikia hatua hii basi ujue kuwa umeshanasa kikweli kweli.Kawaida tu hii kufanya kwa umpendaye![]()
Jamaa ni msukuma au mnyaki??? Note; mdada alikua wait.View attachment 1834685
Jibu gani hilo nililokua nalo???Kama mdada ni waiti, basi jibu unalo tayari
Labda