Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Sasa hivi hata unipige makofi nakutazama tu, nimekuwaje sijui yaani. Nilibadirika sana nilivyo anza secondary nikawa mpole pro max 🙂Jamani, sasa hivi si umeshaacha utukutu au ndiyo upo damuni?[emoji38][emoji38]