Hiki kituko?Location: Urafiki hapa office za Dar LuxView attachment 1834840
Ila na nyie mnafanganyika kirahisi sana samutaimziNdoto za kumiliki Iphone zinakufa automatically
Ngoja nisiseme,nicheke tu maana umenikumbusha jambo fulani hapa
Sasa tufanyeje maana bila hivyo hamkubali 🤣🤣🤣
Sema tu mkuu, hujawahi kulia andazi mfukoni wewe?😀Ngoja nisiseme,nicheke tu maana umenikumbusha jambo fulani hapa
Aaah nitasema siku nyingineSema tu mkuu, hujawahi kulia andazi mfukoni wewe?😀
Nimefuatilia hii stori juzi,Siyo kituko hiki, ila ni funzo kwa dada zetu wanaopenda kuchanganya rangi
View attachment 1834952