Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hakuna[emoji2440][emoji2440]View attachment 1834544
Mtaachana-Tu-ARTWORK.jpg
 
Ulishawahi kuishi na Msukuma? Najitolea uje ukae nami kwa mwezi mmoja uone tunavyokulaga. Kiugali cha wastani ila nyama na maziwa ndo nyingi. Na maparachichi yapo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aisee kuna ubwabwa na ndizi lakini, maana mnyaki ugali ni inabidi aumeze tu, hana jinsi. Afu isijekuwa breakfast nayo ni ugali maziwa[emoji126][emoji126][emoji126]
 
Kuja nataka, ila nijue kwanza menu ya usukumani
Brekifasti - Kiporo cha ugali/Wali
Lunch - ugali na mboga yo yote
Dinner - ugali (na wali wa kusindikizia)

Kwa vile utakuwa mgeni mboga sana sana itakuwa kuku au nyama ya mbuzi na maziwa. Maparachichi yanapatikana sokoni tunaweza kukununulia.

Unasemaje? Yu kami'n [emoji16]
 
Brekifasti - Kiporo cha ugali/Wali
Lunch - ugali na mboga yo yote
Dinner - ugali (na wali wa kusindikizia)

Kwa vile utakuwa mgeni mboga sana sana itakuwa kuku au nyama ya mbuzi na maziwa. Maparachichi yanapatikana sokoni tunaweza kukununulia.

Unasemaje? Yu kami'n [emoji16]
Sikuji kwa kweli, kiporo cha ugali tena khaaaaaaa
 
Back
Top Bottom