Hapana! Hakuna kitu. Kama kuna mchongo huko kwako labda unikonekti na mie nipate pa kutokea wikiendi hii nisiishie kufua na kusafisha ghetto [emoji16][emoji16][emoji16]Zimekaa kama vile Leo kuna tukio umelipania hivi[emoji23]
Leo huyu baharia maji atayaita mma [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1829992
[emoji23][emoji23]Astakafirulahi
Huu ujinga unapatikana Tanzania tu.