[emoji4][emoji4][emoji56][emoji56]Barikiwa mnoo[emoji177][emoji177][emoji8][emoji8][emoji8]
Nimekaa na mshua nikaona niprove kwa wanyaki hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1827907
Kumbe kaona dodoVisingizio, kumbe sababu ndio hiiView attachment 1827917
🤣🤣🤣Namba 6 ni kwel kabisa nimeona kwa wageni wangu wa hiko kabilaMnyaki weeeeeeView attachment 1827456
Mnatunyima dudu liumalo. Na mkitupa mpaka tuwe tumewahonga mno.Duuh!! Tumewakosea mini[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
K-nessy[emoji28]VantenessyView attachment 1827585
Bado 'tashtiti' za wanyaki na wasukuma zinaendelea!!!? [emoji23][emoji23][emoji23]Unafikiri huyu jamaa ni kabila gani? Mimi nadhani ni Mnyaki baada ya kuuza maparachichi yake [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1823709
Pengine Ana display biashara ya mikanda hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unafikiri huyu jamaa ni kabila gani? Mimi nadhani ni Mnyaki baada ya kuuza maparachichi yake [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1823709
😂😂😂😂 Ww jamaa Umewezaje kukariri kwamba ni avatar yangu.? Hy pic naipenda sana na tangu nmejiunga JF hy ndo avatar yangu na siwezi kuitoa.Avatar ya Ezekiel Mbaga