Hii kweli last hope
Tukishindwa hapo basi tena!Hii kweli last hope
🤣🤣🤣Namba 6 ni kwel kabisa nimeona kwa wageni wangu wa hiko kabila
Zimefika..Hahahahahaha msalimie sana mzee, nimekumbuka baba HS naye alikuwa anakaa hivyo mweeh
Aaah tupo humu muda mrefu yan mpaka nikiona notification fulan kakomenti kichwan inakuja avatar yake maana hatufahamiani humu😂😂😂😂 Ww jamaa Umewezaje kukariri kwamba ni avatar yangu.? Hy pic naipenda sana na tangu nmejiunga JF hy ndo avatar yangu na siwezi kuitoa.
Nakubali mzee wanguAaah tupo humu muda mrefu yan mpaka nikiona notification fulan kakomenti kichwan inakuja avatar yake maana hatufahamiani humu