Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Hawapendagi masikhara! 😂
Ukishikwa na tumbo la kuhara...au uzitandike bia...
Kwani mwisho wa dunia umeshafika[emoji16][emoji16]Alifika KE tukam deport, vipi huko jirani alikuja pia? (kidding) [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1826387
Hiyo maneno tulipiga ban huku. Bado mapema! 🤣 🤣 🤣Kwani mwisho wa dunia umeshafika[emoji16][emoji16]
'Pote Galvez' hivi hii series, season ya tano vipi?![emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1826395
Ndio nai download sahi mkuu, nataka niicheki ka itanivutia. 😂'Pote Galvez' hivi hii series, season ya tano vipi?!
Duh, hao watakua walizinduana wao kwa wao
Ati ndo soap opera ya Afrika! 😂 😂 😂Duh, hao watakua walizinduana wao kwa wao
Dah aisee nilikuwa sijui kabisa, hebu namimi niitafute sasa!Ndio nai download sahi mkuu, nataka niicheki ka itanivutia. [emoji23]
Huo ndo muda wa kukumbuka ule usemi wa "muache aende"🤣Amekula kibandani kwako, alafu hataki kulipa, utafanyaje??? 😂
View attachment 1826429