Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Alafu ukimwacha, anatoka na mhudumu mmoja ambaye ni dadako wa damu! Bado usemi uko valid!? 🤣 🤣 🤣 🤣Huo ndo muda wa kukumbuka ule usemi wa "muache aende"🤣
Alafu ukimwacha, anatoka na mhudumu mmoja ambaye ni dadako wa damu! Bado usemi uko valid!? 🤣 🤣 🤣 🤣Huo ndo muda wa kukumbuka ule usemi wa "muache aende"🤣
Wa kichina huu[emoji1787]Wanatuchezea hawa itakua!? [emoji3166][emoji36]
View attachment 1826406
Hehj hfdbbs yddjkAlafu ukimwacha, anatoka na mhudumu mmoja ambaye ni dadako wa damu! Bado usemi uko valid!? 🤣 🤣 🤣 🤣
Huo mhindi mbona haujaiva sehemu zote 🤣Nilijifunza kuvusha watu kwenye maji kwakuwa aliniambia anatokea visiwani, nilijitahidi kula mahindi na kubeba mizigo ili ujue mm ni msukuma lakn bado akaniacha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1824690View attachment 1824692View attachment 1824693
Mie nazimia hapo hapo[emoji1787]Nawabwaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nadhani hii inaashiria zaidi tabia yetu ya kuwa na wanasiasa malaya malaya (in Mwl. Nyerere's voice) tu wanaopambania matumbo yao na si kingine [emoji16][emoji16][emoji16]Mnyonge mnyongeniView attachment 1826620