Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
Bageshi umenitupa siku hizi. Nimejitahidi mpaka nimeacha kukandia vimbaumbau lakini wapi ndo kwanza unaniiginoa. Siyo vizuri...napelanile sana [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Bora maana hata mm nilikuwa nakujulia kwa avatar kwanza kabla ya kusoma jina.
Hahahahhaha pole, basi ngoja pakuche huko tutafutane [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Bageshi umenitupa siku hizi. Nimejitahidi mpaka nimeacha kukandia vimbaumbau lakini wapi ndo kwanza unaniiginoa. Siyo vizuri...napelanile sana [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Tena kwa raha zako[emoji2][emoji2][emoji2]Dunia haina usawa,unaweza usione matatizo ya wengine ukaendelea na mishe zako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni zile zenye marinda au kurasaUkipikiwa chapati la namna hilo,BRO nakushauri weka ndani huyo.....View attachment 1825187
Kweli kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1825236
Naona umenitaja kiaina hapo broBaada ya waganga wa kienyej,mwamposa na wazee wa konekshen kula pesa zake mno hatimaye jamaa anasain kazi baada ya bi mkubwa kufanya yakeView attachment 1825240
Hii naipeleka kuleeeWanyaki wote njooni tupate brekifasti...
View attachment 1825255
NimekionaMiss UDOM 2021...
View attachment 1825264