Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Inamaana hivi watu bado hawajashtuka kuwa hakuna kitu kama hicho![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Gwajiboi bana...
View attachment 1825305
Hiki kijiwe kuna wadau walinipanga kwamba hapo kitimoto yao ni tamu balaa.Oooh,sitaki kasheshe mieee....View attachment 1825190
Muamala umeshasoma angalia[emoji23]
Bora maana hata mm nilikuwa nakujulia kwa avatar kwanza kabla ya kusoma jina.Sawa wakuu...hizi avatar hizi zimekuwa ndo utambulisho wetu japo hatujuani. Nitairudisha wakuu.