Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Miaka miwili tu likitambi hiloooo [emoji16][emoji16][emoji16]Ukipikiwa chapati la namna hilo,BRO nakushauri weka ndani huyo.....View attachment 1825187
Wanyaki wana vituko dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Hatimaye umeonekana. Si kwa kupotea huko? Are you OK?Tuombeane msimu uishe salama [emoji2] kunapuliza si mchezo... Leo Mungu katuona kuna kijua kwa mbali
Nilivyocheka aisee 🤣🤣🤣🤣🤣 hadi tumbo limeuma
Hatimaye umeonekana. Si kwa kupotea huko? Are you OK?
Jizazi, Mtumishi wasaidie wenzioPete kwenye hardware store. Wanyaki salute [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1825521
[emoji23][emoji23][emoji23]wanakera sana hao sometimes,siku nyingine unaamka na jero tu asubuhi na unataka ule ushibe unakuta wao siku hiyo hawajafungua basi ndo unakula maandazi breakfast ya nusu saa[emoji1787]
Hv hawa jamaa kwenye kutongoza huwa wanamwaga vesi miksa ahadi za uongo na kweli km wamatumbi,kuvimba akiwa karibu kuliwa nauli au kutokupokelewa simu!!!???That's why he is liked by many [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 1825543
Subiria afe msanii utapiga hela tuKye kye kye kyeeee....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1825598
Huyu angeweza dinywa hata yey mwenyeweKye kye kye kyeeee....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1825598