Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Baada ya waganga wa kienyej,mwamposa na wazee wa konekshen kula pesa zake mno hatimaye jamaa anasain kazi baada ya bi mkubwa kufanya yake
MbeyaJaza jina la mkoa ulioachwa waziView attachment 1824975
Unakausha tu na kumwachia Mungu. Umewalea katika misingi sahihi na kazi yako itakuwa imekwisha. Malipo mbinguniSiku moja unagundua wote sio wakoView attachment 1825244

Siku moja unagundua wote sio wakoView attachment 1825244
Miss UDOM 2021...
View attachment 1825264
Unakufa kiofsaUnakausha tu na kumwachia Mungu. Umewalea katika misingi sahihi na kazi yako itakuwa imekwisha. Malipo mbinguni
View attachment 1825254
#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#KitandaHakizaiHaramu
Usikimbilie kupima DNA watoto kama hujui la kufanya ukigundua siyo wako. Ni sawasawa na kudukua simu ya mpenzi wako. Bila kujiandaa kisaikolojia kwa utakayoyakuta huko ni kujitafutia matatizo tu...Unakufa kiofsa
Kushindwa kuja ni matumizi mabaya ya pesa ya nauli anapaswa kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi