Huyu mwalimu alipata tuzo kutoka shirika la umoja wa mataifa kwa kujitolea kuwaandikia wanafunzi wake program ya Microsoft office ubaoni huko Ghana.Big Up mwalimu kwa mchango wako.
Wanyaki nakwambia haya ndo maumbo yao. Wamefungasha balaa. Mi nahamia huko tukabanane kwenye maparachichi hivyo hivyo. Na kwa vile napenda kuvaa suti si ajabu hata kanisa nitapewa aisee...Wanyaki hia ai kamu
Huyu mwalimu alipata tuzo kutoka shirika la umoja wa mataifa kwa kujitolea kuwaandikia wanafunzi wake program ya Microsoft office ubaoni huko Ghana.Big Up mwalimu kwa mchango wako.View attachment 1823962