'Full body condom'

Better! 🤣
Uipate na kachumbari sasa! 🔥🔥🔥🤣🤣🤣
That's y i hate makopo(makeup)Hakikisha ameosha uso ama umpeleke akaogelee baharini kabla hamjaendelea na mengine... This is too much nah!![]()
![]()
View attachment 1823465
Me too bro, plus wigs sijui, duh noma sana zile. Ntaka nione natural kwanza ndio nijue nakwala chombo au ni upupu tu! 🤣 🤣 🤣 🤣
Alafu bahati mbaya, upigiwe simu wahitajika kazini na ilkuwa uko off day! 😂 😂 😂
HahahaaaAlafu bahati mbaya, upigiwe simu wahitajika kazini na ilkuwa uko off day!![]()
![]()
![]()





Wameshawatia vilivyo wateja wao mpaka wamewakimbia