Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hii ni kabla hata ya TZA
Chuma chakavu[emoji23]
[emoji16][emoji16]
View attachment 1811873
Hayo ni mambo ya kawaida mkuu hasa kwa vijana wa kiume, nakumbuka nishawahi mfungia mtu safari mpaka Singida, nilitobolewa mfuko vilivyo nikakosa hadi nauli nimefika kituoni nkaanza kuchangisha watu wapo dar[emoji16][emoji16][emoji16]Hongera gani ujinga tu? [emoji51][emoji51][emoji51]
Unakuta huo mguu ni wa beki ndio anasema hivyo[emoji23][emoji23], navaa gum boots kabisa!M
Mpira ushaisha..[emoji1787]
Mi naomba sub maswala ya kutiana ukilema hapana..😂Unakuta huo mguu ni wa beki ndio anasema hivyo[emoji23][emoji23], navaa gum boots kabisa!
Ukipiga nae bambi lazima uende benchi kupumzika kwanza[emoji23][emoji23]Mi naomba sub maswala ya kutiana ukilema hapana..[emoji23]
Mguu tu inatosha kuwa sababu ya timu pinzani kupotezeaUkipiga nae bambi lazima uende benchi kupumzika kwanza[emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1]Mguu tu inatosha kuwa sababu ya timu pinzani kupotezea
GG 😅😅😅Sisubiri umwage kimoja mimi namwaga vyote[emoji1787]View attachment 1811863