[emoji1787][emoji1787]Kuna watu kiboko
[emoji1787][emoji1787]Umefanya jambo la kijasiri, maana wangekuchezea sana hao[emoji23][emoji23]
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh aiseeeEnethingi kani hapeni...[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1811838
Hii mbinu mpya au?!Ni mzee wa CHAPUTA na zana za kazi ama? [emoji16][emoji16]
View attachment 1811833
Huyu Msomali atuache kwanza"Mimi ni shabiki lia lia wa Coastal union, lakini hawa Yanga nimejitolea sana kuwasaidia kifedha walivyoondokewa na tajiri yao Yusuf Manji, nawashangaa ati leo wananilalamikia eti nawaonea.
Yanga muwage na shukrani"--- Wallace Karia Rais wa TFF.View attachment 1810727