Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1622473453547.jpg
 
Kumbe na wewe Mnyaki duh! Mko wengi sana aisee. Mimi nawapenda sana kwa kweli. Mko wapole hamna maneno mengi ali mradi tu mpate maparachichi yenu basi...na mlivyoumbika sasa uwiii !!! Msukuma miye ng'ombe wote naweza kuwaachia yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahahaaa

Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom