Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Hapo harusi bado, mahari bado.... Lazma tulizwe tu. 🤣 Alafu line up hapo ni mashangazi wa binti ukute! 🤣 🤣 🤣
Hapo harusi bado, mahari bado.... Lazma tulizwe tu. 🤣 Alafu line up hapo ni mashangazi wa binti ukute! 🤣 🤣 🤣
Kuna Totoz linahataree hapo! 🤣
Hivi vidude vya kichina bado viko? 😂
Huyu ndo ameshikilia dhamana ya kutunga sheria za nchi daaah hii nchi hii bhana
Hata mm asee huwa spend vile wanaisema bhangi vibaya.Woyooooooooooooo
Mjani inze byulding
Situumii hii kitu ina huwa sipendi watu wanavyoinyanyasa. Waihalalishe sasa kwa matumizi binafsi.
Huyu spika wenu kwa hizi kauli zake siku hizi kuna uwezekano akatia nia ya urais 2025, ameanza kufanya majaribio kwa mbali.