Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Baada ya hapo fito zakungoja! 🤣Utoto rahaView attachment 1801919
Baada ya hapo fito zakungoja! 🤣Utoto rahaView attachment 1801919
Kumbe na wewe Mnyaki duh! Mko wengi sana aisee. Mimi nawapenda sana kwa kweli. Mko wapole hamna maneno mengi ali mradi tu mpate maparachichi yenu basi...na mlivyoumbika sasa uwiii !!! Msukuma miye ng'ombe wote naweza kuwaachia yaani









Police walikuwa wala rushwa toka zaman
Kabendera shinan
Aliye elewa anisaidieView attachment 1803078
Naiiba hiiI like this guy...
View attachment 1803067
wewe unaonekn umekuwa majuzi 🤣🤣Ilikuwa inatumika kuweka madaftari?kwani kulikuwa hakuna mabegi?