Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,336
- 71,163
Bila shaka ulishawishika pia, lakini ungeanzaje kutoka?! Ndio ikawa ponea yako!Mabinti huwa wanarubuniwa halafu kuna ile unasema ngoja nione ladha yake, vyote hivo vinashawishi,
Bila shaka ulishawishika pia, lakini ungeanzaje kutoka?! Ndio ikawa ponea yako!Mabinti huwa wanarubuniwa halafu kuna ile unasema ngoja nione ladha yake, vyote hivo vinashawishi,
Haaaaa, hadi sasa na uzee huu nilienda Home kusalimiana mwaka jana mzee yupo mbali lakini anapiga simu kwa mama aniambie kuwa niwe makini kuna ukimwi, ilibidi Mimi na mama tucheke tyuBila shaka ulishawishika pia, lakini ungeanzaje kutoka?! Ndio ikawa ponea yako!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Masaa machache tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaaa Haaaaa 😂 uwiiiiie
[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haahahaa hapo mtihani,nisingeenda jela ningeplay smart,ndomu tu hakuna kuuza mechi halafu kila mechi inaenda kuchezewa ugenini na sio uwanja wa nyumbani.... 😀 😀 😀.King Kong III utadhubutu?
Ni wajibu wake kukumbusha kama kijana wake[emoji109]Haaaaa, hadi sasa na uzee huu nilienda Home kusalimiana mwaka jana mzee yupo mbali lakini anapiga simu kwa mama aniambie kuwa niwe makini kuna ukimwi, ilibidi Mimi na mama tucheke tyu
[emoji23][emoji23]
itakuwa aliwekwa mtoto mchanga iyo[emoji1]
Long time[emoji1666][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Huyu mangi wa kichina anapata mbege[emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo amebeba na yale yanayoelezea namna ya kuzuia mvua kwa sayansi ya asiliAah,babu mafaili yote siku ya kwanza tu kweli?View attachment 1804178