Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Duh, hivi vibinti vidogo havina mpango! 🤣 🤣 🤣
Duh, hivi vibinti vidogo havina mpango! 🤣 🤣 🤣
Nilizikula sana hizi, mostly shule za serikali ndio huu uhuni upo! 🤣 Ubaya zilinifanya sugu, dadeq, hadi sahi! 🤣 🤣 🤣

halleeee!!
. Mara ya mwisho niliivaa '94 Muhezaaaa.
Ningekuepo ningechukua za ramliMtu anauzwa hapo View attachment 1803331
Dah! Navikumbuka hasa kwenye kucheza mpira unakuja kushtuka kipo usawa wa tumbo
Hapo si itakuwa fatal kabisa
Mtu anauzwa hapo View attachment 1803331
Ni mcheza mieleka?I like this guy...
View attachment 1803067
Picha ya mwisho, umenikumbusha series ya The Strain, huyo jamaa anabonge la domo akilifungua kunyonya damu! 😁😁😁