Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hiki siyo kituko, ukweli kabisa
IMG-20210526-WA0005.jpg
 
Halafu hivi kule kwa wazungu, jamaa hutoa mahari kweli, mi sijashuhudia hiyo maneno!?? 🤣
Ngoja wanaojua watupe mwongozo,huku kwetu daah shangazi, mjomba, bibi yaani wote madalali, mlolongo wote huo na ndiyo chanzo cha hata mahari kuwa kubwa ili kuwa include wote angalau wapate mgao
 
Ngoja wanaojua watupe mwongozo,huku kwetu daah shangazi, mjomba, bibi yaani wote madalali, mlolongo wote huo na ndiyo chanzo cha hata mahari kuwa kubwa ili kuwa include wote angalau wapate mgao
Kweli hata kwetu same thing, lakini from my migratory experience, sijapata kuona kabisa wazungu haswa, wakifanya haya, maybe kwa siri, sijui, wacha waje watueleze!
 
Back
Top Bottom