Alisahau kumalizia kusema "kama we mwanaume kweli"



Shoots 100 rounds...or up to 115 with a mag...badass with 4x scope.It's a M249 light machine gun (LMG) or SAW, manufactured by a subsidiary of FN in America. Hiyo ni adaptation ya Belgian FN Minimi LMG. Alitumia suppressor ya Silencerco SWR branded can.
View attachment 1802442
Number mbili itanifaa, bora sura ipo, booby nitazifinya mwenyewe zitokezee! 🤣 🤣 🤣Tunapenda hao with no brainView attachment 1802873
They left school with a purpose! 😬😁
Mwanaume huwezi kugombana naye, nitakua mpole sanasana nitatafuta upenyo wa kukimbilia
Vipi hakuna anayekanyaga hii kitu vizuri awache kufanya vituko? 😂
Mtu wa watu... 😬
Kichwa cha juu na cha chini hufanya kazi kwa wakati mmoja, mida hii! 🤣 🤣 🤣
Mtoto wa watu atavunjwa mbavu jamani! 🤣 🤣 🤣
Hahahaha mmetuamuliaWanyaki wangu mpo? Kanahitajika kabinti ka Kinyakyusa kafupi kenye msambwanda
View attachment 1802123