Huyu ndege atakuwa Mzaramo huyu tena kimbaumbau. Nisikilizie muziki wake sasa...
Wabadilishane!
Miaka 75 bado tunalisongesha japo kwa nadra unafikiri mchezo? Uraibu mbaya sananaelewa mkuu, kuna kipindi unajikuta unaforce hata kimoko tu, lakini hauwezi kuwa kama huyo tena kila siku




Kasie matata huyooo.Don’t please....


Imagine ndo akutane na fala aliyemshauri kuacha ukuu wa mkoa eti kwenda kugombea ubunge. Zitapigwa aisee



Kama hiyo barua itakuwa imefika kwa dean of students sidhani kama kuna chuo tena hapoUshabiki maandazi.
Michezo ni furaha/karaha ukilijua hili hata timu ifunge 20,haikubadili jinsia.
Sasa huyu kijana kama ni kweli ni bwege sana.
Imenikumbusha miaka ya 90 kuna mzee aliweka zamana mkewe kama Simba ikifungwa wajibebee buree, imagine..
Zimbabwe na Zambia bado hizo story za kutekana na kupelekwa kufanywa kafara bado ziko tu sana. Hawa jamaa wanaakili mbovu! 😡
Hi utakuwa wimbo wa Marioo tu








