Chief niliisoma hii habari na designer mwenyewe alikiri ni real meat.View attachment 1802497Hapana siyo kweli unajua ni mambo ya mitindo tu na rangi ifanane na nyama kwa kweli alifanikiwa kwa asilimia kubwa.Na alifanikiwa kwa kweli.
Madereva wengine bhana, alafu nikushike! Mamaaa! 😤[emoji22][emoji22]View attachment 1802491
Mkuu hamia Browning!Suppressor iko sawa, imezuia nyingi, kuna nyingine jamaa alitupa round 400 kitu kikayayuka tayari. So hii type atleast iko chonjo!
Like father like son... Hapo hata mzee ashashikanisha tayari! 🤣[emoji23][emoji16] wait wait wait whaat!!View attachment 1802488
Hebu nipe series moja unayoiamini niiperuzi!Mkuu hamia Browning!
Nimeicheki tayari lkn bado haina mvuto vile, bado wanajikokota. Alafu naona mchango wa FN kwenye bidhaa zao zingine.Mkuu hamia Browning!
Legends! 🤣 🤣 🤣[emoji16][emoji16]View attachment 1802512
Hahahqhaha[emoji23][emoji23]Huyu ndege atakuwa Mzaramo huyu tena kimbaumbau. Nisikilizie muziki wake sasa...
[emoji23][emoji23]Hahahaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa acha janja zako,Miaka 75 bado tunalisongesha japo kwa nadra unafikiri mchezo? Uraibu mbaya sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]
Huu ndio ule uchizi freshi wa mapenzi! 🤣 🤣 🤣
Hahahaha[emoji1787]View attachment 1802478