Got your point, Browning is way above MG 42 in the game. 👌FN nimeitumia chief, ina kawaida ya kuganda ganda sana, yaani round 5/7 inaganda! Na hata barrel yake inachemka vibaya sana, na ndio hata kwenye kasha lake utakuta wameweka barrel mbili, na pia kwenye barrel yake kwenye gas regulator inaplate kwa ndani zikipata moshi kidogo zinazingua sana.
Ni hatari Sana,hebu fikiria moja linaporomoka linakuja kwa nyuma hivi,namuonea huruma huyo mtoto
Hivi vidudu kwa determination tu! 👏🏽😂