Pole sanaKula mbakshie baba.
Sina hamu. Nilichezea kipondo kuna siku siwezi sahau.
Nlikua wa kishua then kuna mahali nikaenda tukawa tunacheza michezo kama hio.


Kula size yako, ni hapo ukiangushe sasa!![]()
![]()
Huyo aliyekaribu yako kama ni mkubwa wako basi utajamba tu, sio kwa konde utalowekelewa!
![]()



Kuna muuza duka furani alikuwa anaweka vipande vya Barafu.Friji zilikuwa chache, inawekwa kwenye Maji.
Kuna jamaa mmoja hajaoa na sasa amefikisha umri wa miaka 40.Tena huyo mwezi kajitahidi sana bora yeye, nilishawahi kukutana na dogo mmoja yeye kila siku anapasha yani ana hali mbaya
Kwani hana mke tu katika huo umri?! Kwa upande wangu naona wengi wanafanya hvyo sababu hawana wanawake ila ukiwa nae ni ngumu sana kujichua hata nafsi inakusuta!Kuna jamaa mmoja hajaoa na sasa amefikisha umri wa miaka 40.
Anasema tangu ameanza huo mchezo aliacha mara moja kwa muda wa siku 6 tu.
Na hizo siku 6 alisimama kwa kuwa alipata jeraha akashonwa, tangu hapo ni moto chini mpaka hivi sasa.