mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,552
- 10,594
Na saa yake ya mkononi ndio yenye majira sahihi. Ukute anatetea kuwa haipotezi hata Dakika moja!ππUmejuajee mkuu tena kwa Mbeya ndio usisemee πππ tena ni mzee wa kanisa πππ