Hata getini hufiki ushakula mkong'otoJamaa walipanda mwewe bila nguo. Jaribu wewe sasa uone...! 🤣 🤣 🤣
View attachment 1788979
Duh alifanyanini huyu alipokuwa hai!Mazishi ya shujaaView attachment 1794159
Mazishi ya shujaaView attachment 1794159
Duh alifanyanini huyu alipokuwa hai!
Alijifanya anayajua maisha na pesa kuliko wengineMr MSHANA embu tueleze japo kidogo alifanya nini huyu marehemu kama unajua sio kwa mazishi hayo
Ntatoa shukrani