iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,141
- 9,914
[emoji2960][emoji848]View attachment 1788916
😂 😂 😂 Wanajua kila kitu wale washenzi! 🤣 🤣 🤣 Ati DIY... 😂
Wachuga huyo dogo! 🤣
Nchi ngumu hiiHapo zamani Tanzania ilipogundua dawa ya COVID 19View attachment 1788777
Maaaa😲😳😂😂😂 hapo ni Sudan ka sijakosea, manake doh, ndio zao kuenda matawi ya juu dadeq! 🤣 🤣 🤣Maghorofa gani posta yamejengwa kwa mpangilio wa namna hii...View attachment 1788762
Ndio hawa wale mavajoh 72 ama? 😂 😂 😂
Wanaoshuka zile masehemu hufeel hivi pia! 😬
Na ile ya kwenda chini kabisa, kiuno kiwe kinaelea juu tu, vipi ina saidia pia? Kuna mdada anauliza hapa! 🤣 🤣 🤣
Hiyo ingekuwa dawa, hakika sahi mngekuwa China ndogo. Sio kwa mihela ya kata funua! 🤣 🤣 🤣Hapo zamani Tanzania ilipogundua dawa ya COVID 19View attachment 1788777
Niliulizia humu jf kuhusu visa ya huko, sijapata jibu! 🤣Aheri ukae jela Norway kuliko kuwa huru Bongo [emoji849][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1788783
Si jonde hili mkuu? 😬😁[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1788812
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupiga bomba kama Hamas, dadeq! 🤣 🤣 🤣[emoji23][emoji23]View attachment 1788877
Ashazoea lamba lamba! 🤣