Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,830
Hakuna chakula nakionaga kitamu kama nilichokiandaa mwenyewe[emoji39][emoji39]
Kwa hiyo unapingana na wanasaikolojia? Mimi nilifikiri pengine, mbali na mambo mengine, ni ile ishu ya kuonja ukiwa unapika mwenyewe. Ukishakionja basi ule mzuka unakata unakiona kuwa cha kawaida tu, kinyume na cha mpishi mwingine unachotengewa tu kwa mara ya kwanza.Hakuna chakula nakionaga kitamu kama nilichokiandaa mwenyewe[emoji39][emoji39]
Nitatoa shukrani! 🤣 🤣 🤣
Mimi nitautoa ugali
Jamaa kazaliwa miaka minne baada ya mamake mzazi kufariki. Africa, I salute you !
View attachment 1793873
Nitatoa pongezi.