Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Uzalendo upo Kenya ndiyo maana mahakama zenu zinatenda sana haki.Tanzania kuna vichwa vya wendawazimu vinavyotembea.Haya mapicha ya kuinanga simba sijayaelewa, maana nilitegemea Simba wakicheza nje ya nchi kisha wapoteze iwe msiba kwa Watanzania wote kwa ajili ya uzalendo.
Mechi za ndani ndio myafanye haya.
Ni utani wetu tu Watanzania hasa humu mitandaoni. Memes kama zote. Sisi ni watu tunaopenda utani sana.Haya mapicha ya kuinanga simba sijayaelewa, maana nilitegemea Simba wakicheza nje ya nchi kisha wapoteze iwe msiba kwa Watanzania wote kwa ajili ya uzalendo.
Mechi za ndani ndio myafanye haya.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Na Layoni kwa ki Maasai ni mtu ambaye hajatahiriwa(govi)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1786650
Uzee wako ni wa Jeief, nje ya hapa ni bint unayekula bata wa ujana[emoji23][emoji23]Mkuu uzee huu na hayo makitu wap na wap mimi boss wangu?
[emoji870][emoji870][emoji870] Naunga mkonoNi utani wetu tu Watanzania hasa humu mitandaoni. Memes kama zote. Sisi ni watu tunaopenda utani sana.