Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
[emoji15]
Mara zote mkuu.
Da! Aisee basi wakati unatafuta Avatar yako ulipatia sana![emoji28][emoji28]Hiyo picha na kibinti changu ni mimi mkuu. Sema tu ni ya zamani kidogo [emoji16]
Yangu imewahi kuja na bill ya maji ya milango 4 ikashindwa kudivide bwana mbele ya wapangaji wake.
Wanadai eti hii list ni copy & paste haina uhalisia zaidi ya raja pekee.
Orodha ya kutengeneza ili kujifariji tu. Kubalini tu kuwa jana mlichemsha na mkanyooshwa sawa sawa na Wazulu; na mjiandae kwa kipigo kingine kitakatifu kwa Mkapa...