Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ni utani wetu tu Watanzania hasa humu mitandaoni. Memes kama zote. Sisi ni watu tunaopenda utani sana.

Nafahamu sana utani baina yenu kwenye ushindani wa Yanga na Simba, binafsi nikiwa Tanzania nilikua shabiki wa Yanga na tuliwazingua sana wana Simba enzi zile za mtani jembe.
Hata hivyo ni kawaida kwa timu ya ndani ikienda kupambana kimataifa, kila mmoja anaishabikia...anyway poa poa.
 
Ndio mana mvua za magoli zilishia njiani........
IMG-20210516-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom