[emoji23][emoji23][emoji23]Waache tu
[emoji23][emoji23]
Mwanza wamelamba Dume[emoji23][emoji23]
Aliyekuwa anamnynyasa kule Hai amekadhiwa TAKUKURU.
[emoji23][emoji23][emoji23], timua hao watoto
Muda wake umepita japo bado anajitahidi kuwa relevant. Naona ameshampachika mama jina la Jumong. Hata sijajua maana yake ni nini.