Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Jamaa mpaka anatia huruma yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa mpaka anatia huruma yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni yale yale ya kusema eti unasubiri mpaka siku ya harusi kumbe mabaharia wanamtafuna bila huruma
Sikuhizi nasikia huwa hawasubiri hata wakue, wanawala na chumvi tu[emoji28]Ni yale yale ya kusema eti unasubiri mpaka siku ya harusi kumbe mabaharia wanamtafuna bila huruma
Haka kapicha kamelata kamzozo[emoji28][emoji849][emoji849]View attachment 1780136
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli ni blinking news[emoji23][emoji23]BLINKING NEWS
Nimefatilia Taarifa ya Press ya Waziri wa michezo Juu ya Mechi ya SIMBA na YANGA ni Kwamba Lema na Jaji Mkuu kifo cha yule diwani aliyeuawa guest ni kwmba Ali Kiba Ndiye Msanii Bora kwa sasa Tanzania hayo aliyasema Ozil wakati Anafunga goli dhidi ya Hardware za Kusambaza Mchanga Kwenye Uchaguzi wa Kumtafuta Miss Temeke Husaidia Mtu Aoge kwenye Gari Ambalo Halina Laptop zenye Ukubwa wa Chai ya Maziwa yenye Barabara za Kwenda Calculator hadi Maji Makubwa ya Kilimanjaro ndio huleta Matairi ya Kifaru cha Mwinuko wa Bahari Kwenye Ukuta wa Maji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Joe Frazier Sr alimdanganya mwanae kuwa alikuwa tayari kupambana na Iron Mike. Matokeo yake ilibakia kidogo auliwe. Wazazi pimeni uwezo wa wanenu kabla hamjawalazimisha kufanya mambo yanayowazidi kimo!
View attachment 1780153
It was a complete mismatch yaani. Na hakuwahi kupigana tena baada ya hili zali.
Hahahaha... within 20 seconds....