Shukrani mpendwa nimepokea mualiko.Karibu kwenye mikesha ya Laylatulqadir, msikiti wa Qiblatain Kariakoo
Imeanza kumi la mwisho inaendelea mpaka mwisho wa Ramadhani.
I can't breath kwa kweli 😷😷😷Ishu ya kweli hiyo mama
Mbona mimi sifanyagi hivo na huwa natembeza mboga mboga, mi nawekaga kipochi kwa mbeleSiendi sokoni sababu wale wamama kila siku wanapitisha. Napata zangu hapo kadhaa na akiwa anakutafutia chenji inakuwa kama vile moudgulf alivyoonyesha kwenye ile post![]()
Kipochi kwani si kinakuwa kwa mbele then akitoa chenji inaonekana kama hiviMbona mimi sifanyagi hivo na huwa natembeza mboga mboga, mi nawekaga kipochi kwa mbele


. Hebu siku ukiwa unatoa chenji kuwa makini!!