Nani aliyekuruhusu umpige picha?
Amekuja kubainika kuwa hana sifa za uongozi ili hali naye anafanya kila njia aupate urais hata kwa kuununuaHuyu mwamba anatengwa sana. Ingekuwa hapa kwetu sijui ingekuwaje.
View attachment 1773808
Hapo India bila shaka! 🤣 🤣 🤣 Wapiga sala za toba ka zote hapo! 🤣Simba mwendapole...View attachment 1774022
Huyu angefaa kupewa kazi! 🤣 🤣 🤣
Ashaiona tayari! 🤣
Kumbe ndio maana M7 hataki kutoka madarakani