IMG-20210505-WA0024.jpg
 
Siasa za Kenya ni ngumu mno. Mambo ya ukabila ukiongeza na kupigana chenga za kawaida za kisiasa kama zile alizopigwa Lowassa na JK basi ni hatari tupu.
Chenga na danadana alizopigwa Lowassa na JK ndiyo chenga anazopigwa Lutto na Kenyatta.
Chenga kama hizo aliwahi kupigwa Charles Njonjo na mzee Jomo Kenyatta zamani huko
 
Back
Top Bottom